Mgeni
Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa (katikati)
akimsikiliza kwa makini mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo (hayupo
pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa
Taarifa za Kina (Thematic Reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na
Makazi ya Mwaka 2012 yaliyonguliwa jana mkoani Arusha. Kulia kwake ni
Mkurugeni wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa na kushoto
kwake ni Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Hajjat Amina
Mrisho Said.
Mgeni
Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa akiwahutubia
washiriki wa mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina
(Thematic Reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012
yaliyofunguliwa jana mkoani Arusha.
Mgeni
Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu na
Ofisi ya Mtakwimu Mkuu, Zanzibar pamoja na baadhi ya washiriki wa
mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina (Thematic Reports)
zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 yaliyoandaliwa na
Ofisi ya Taifa ya Takwimu, mafunzo hayo yamefunguliwa jana mkoani
Arusha.
Kamishna
wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akiwa
katika mahojiano maalumu na waandishi wa habari mara baada ya kufungua
mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina (Thematic Reports)
zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 yaliyoandaliwa na
Ofisi ya Taifa ya Takwimu, mafunzo hayo yamefunguliwa jana mkoani
Arusha.(PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).
0 comments:
Post a Comment