Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiongea na
wajumbe wa mkutano wa Mradi wa ukanda wa kati wa Uchukuzi wakati wa
ufunguzi wa Mkutano huo leo jijini Dar es Salaam,Mradi huo utahusiha
nchi za Afrika Mashariki katika ujenzi wa reli.
Mkurugenzi
Mkuu wa Jukwaa la Uchumi wa Nchi za Afrika,Elsie Kanza akisoma risala
ya kumkaribisha Mgeni rasmi Mhe.Rais Jakaya Kikwete katika ufunguzi wa
Mkutano wa siku moja wa Mradi wa Ukanda wa kati wa Uchukuzi leo jijini
Dar es laam, Mkutano huo ni maandaliza ya mkutano unaotarajiwa kufanyika
Abuja ,Ngeria.
Katibu
Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika
Dkt.Stergomena Lawrence, akiosoma hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano
wa Mradi wa ukanda wa kati wa Uchukuzi leo jijini Dar es Salaam,Mradi
huo utahusiha nchi za Afrika Mashariki katika ujenzi wa reli.
Mkurugenzi
wa kitivo cha taarifa cha nchi za Afrika Mashariki,Grabiel Negatu
akiongea na wajumbe wa mkutano wa Mradi wa ukanda wa kati wa Uchukuzi
uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa mkutano wa Mradi wa ukanda wa kati wa Uchukuzi , uliofanyika leo
jijini Dar es Salaam, wakifuatilia kwa makini mambo mbalimbali wakati wa
mkutano huo, unaohusisha ujenzi wa reli kwa nchi za Afrika Mashariki.
Mkurugenzi
Mkuu wa Jukwaa la Uchumi wa Nchi za Afrika,Elsie Kanza (wa pili kulia)
akimuongoza mgeni rasmi Mhe.Rais Jakaya Kikwete kuelekea katika eneo la
picha ya pamoja,baada ya kufungua Mkutano wa siku moja wa Mradi wa
Ukanda wa kati wa Uchukuzi leo jijini Dar es laam.
Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akisalimiana na
Mkurugenzi wa kitivo cha taarifa cha nchi za Afrika Mashariki,Grabiel
Negatu (kulia) wakati wa mkutano wa Mradi wa ukanda wa kati wa Uchukuzi
leo jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment