Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea nchini Mhe
Chung IL wakiwa mbele ya mchoro wa mfano wa Hospitali ya Chuo Kikuuu
cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo
ya Kwembe, Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe
la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote
nchini leo
.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifurahi na msanii Mrisho Mpoto baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo
Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila
maeneo ya Kwembe, Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa
kuliko zote nchini leo.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL na
viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la
ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na
Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe
Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam, April 24, 2014. (PICHA NA IKULU)(FS)
0 comments:
Post a Comment