Balozi
wa Nigeria nchini Marekani Profesa Adebowele Adufye, akimkabidhi Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe
Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la
Afrika kwa mwaka 2013 anayopokea kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe
ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya
St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa Jumatano, Aprili 9, 2014.
Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Job Ndugai
ambaye yuko katika ziara ya kikazi ambapo naye alialikwa kuhudhuria
hafla hii
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe
akifurahia baada ya kupokea Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi
Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 kwa niaba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya
St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa , Jumatano, Aprili 9,
2014.
Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Job
Ndugai ambaye yuko katika ziara ya kikazi ambapo naye alialikwa
kuhudhuria hafla hii
0 comments:
Post a Comment