Na Festo James Njombe
Katika Kuhakikisha Tatizo la walimu wa shule za Sekondari na Msingi linaendeleaa kutatuliwa, Mkoa wa Njombe Umepokea Walimu Zaidi ya Mia Nane Ambao Wameanza Kuripoti Katika Vituo Vyao vya Kazi Tangu Hapo Juzi.
Akiongea na blog hii Afisa Elimu Mkoa wa Njombe Bw Said Kinyaga Nyasiro Amesema Kuwa Kati ya Walimu Hao waliopangwa katika Mkoa wa Njombe ni walimu 831 Ambapo Walimu wa Masomo ya Sayansi ni 54 huku waalimu wa sanaa ni 445 na walimu wengine ni wa cheti wakiwa 332.
Aidha Afisa Elimu Huyo Amebainisha Kuwa Walimu 179 wanaratajia Kwenda Wilaya Ya Makete,132 Wilaya ya Ludewa, 127 Wilaya ya Wanging'ombe na Wilaya ya Njombe Walimu 393 Watakao Sambazwa Kwenye Halmashauri Zake.

Bw Nyasiro Ameongeza Idadi Hiyo ya Walimu imekuja wakati Mkoa wa Njombe Ikiwa na Upungufu wa Walimu Zaidi ya Elfu Mbili Hivyo Kuwataka Walimu Hao wapya Kuwasili Katika Vituo Walivyopangiwa Mapema Kama Sheria Inavyosema.
Ameongeza Kuwa Mapokezi Hayo ya Walimu Yanaenda Sanjari na Uhakiki wa Uhalali wa Walimu Hao Kwa Kuachunguza Vyeti Vyao.

Katika Hatua Nyingine Afisa Elimu Huyo Amewashauri wadau wa Elimu Pamoja na Wananchi Mkoani Njombe Kutoa Ushirikiano Wa Kutosha na Kutokuwakatisha Morali Walimu Wapya waliopangiwa ambao wanatarajia Kuanza Kutoa Elimu Katika Mkoa wa Njombe.
0 comments:
Post a Comment