Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika (katikati)
akizungumza na aliyekuwa Katibu wa Chama cha Madaktari Tanzania (Mat),
Dk Rodrick Kabangila, baada ya kutangaza kujivua nafasi za uongozi ndani
ya chama hicho na kujiunga na Chadema Dar es Salaam jana. Kulia ni
Mbunge wa Viti Maalumu, Naomi Kaiula. Picha na Fidelis Felix
Siku 12 baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwataja mawaziri watatu kuwa wameshindwa kuwajibika na kutaka wahojiwe na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, Chadema kimeibuka na kusema kitaanika utendaji mbovu wa viongozi hao katika mkutano wa Bunge unaoanza kesho Mjini Dodoma.

Ili kufanikisha mkakati wake, chama hicho kikuu
cha upinzani nchini, kimewaomba wabunge wa CCM kuwapa ushirikiano katika
mkakati wake wa kuwawajibisha mawaziri hao.
SOMA ZAIDI:MWANANCHI
SOMA ZAIDI:MWANANCHI
0 comments:
Post a Comment