Bomu lililokuwa limelengwa kuyashambulia majeshi ya
usalama limesababisha vifo vya watu watatu na
kuwajeruhi wengine 25 leo katika eneo la kusini
magharibi ya Pakistan.
Bomu hilo liliwekwa katika
baiskeli karibu na kituo cha upekuzi wa barabarani
kinachoendeshwa na polisi na walinzi wa mipakani
katika mji wa Quetta, mji mkuu wa jimbo la
Baluchistan.
SOMA ZAIDI:DWKISWAHILI
0 comments:
Post a Comment