Home » » KIKWETE AKUNA KICHWA UTEUZI BARAZA LA MAWAZIRI

KIKWETE AKUNA KICHWA UTEUZI BARAZA LA MAWAZIRI

Written By kitulofm on Sunday, 29 December 2013 | Sunday, December 29, 2013

Rais Jakaya Kikwete anatarajia kuipanga upya safu ya Baraza lake la Mawaziri wakati wowote, huku baadhi ya naibu mawaziri wakipewa nafasi kubwa ya kuteuliwa kuwa mawaziri kamili.
 
Hatua hiyo inatokana  na uamuzi wake wa  kutengua uteuzi wa mawaziri wanne alioufanya siku tisa zilizopita, mawaziri hao walishutumiwa kushindwa kuwajibika  katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili.
SOMA ZAIDI
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm