“PRESS RELEASE” TAREHE 16.12. 2013.
WILAYA YA CHUNYA – MAUAJI.
MNAMO TAREHE 15.12.2013 MAJIRA YA SAA 08:00HRS HUKO KATIKA KITONGOJI CHA ITEGE, KIJIJI CHA ITINDI, KATA YA GALULA, TARAFA YA SONGWE, WILAYA YA CHUNYA, MKOA WA MBEYA, NYESI D/O MPONJA, MIAKA 25, MSAFWA, MKULIMA, MKAZI WA KIJIJI CHA ITINDI ALIFARIKI DUNIA WAKATI ANAPELEKWA KITUO CHA AFYA MBUYUNI KWA MATIBABU BAADA YA KUSHAMBULIWA KWA KUPIGWA NGUMI, MATEKE NA UBAO SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE NA MUME WAKE NDELE S/O JULIUS, MIAKA 43, MNYIHA, MKULIMA, MKAZI WA KIJIJI CHA ITINDI. CHANZO NI WIVU WA KIMAPENZI. MTUHUMIWA ALIKIMBIA MARA BAADA YA TUKIO. KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI BARAKAEL MASAKI ANATOA WITO KWA WANANDOA KUTATUA MIGOGORO YAO YA KIFAMILIA KWA NJIA YA KUKAA MEZA MOJA YA MAZUNGUMZO. AIDHA ANATOA WITO KWA YEYOTE MWENYE TAARIFA ZA MAHALI ALIPO MTUHUMIWA WA TUKIO HILI AZITOE KATIKA MAMLAKA HUSIKA ILI AKAMATWE NA HATUA ZA KISHERIA ZICHUKULIWE DHIDI YAKE.
WILAYA YA RUNGWE – MAUAJI.
MNAMO TAREHE 15.12.2013 MAJIRA YA SAA 08:00HRS HUKO KATIKA HOSPITALI YA MAKANDANA TUKUYU, WILAYA YA RUNGWE, MKOA WA MBEYA, EDDY S/O MBILINYI, MIAKA 34, MKINGA, MFANYABIASHARA YA NGUO ZA MITUMBA, MKAZI WA UYOLE ALIFARIKI DUNIA WAKATI ANAPATIWA MATIBABU HOSPITALINI HAPO. CHANZO NI BAADA YA KUSHAMBULIWA KWA KUPIGWA NA KUNDI LA WANANCHI WALIOAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI WAKITUMIA SILAHA ZA JADI FIMBO NA MAWE TAREHE 14.12.2013 MAJIRA YA SAA 02:00HRS KATIKA KIJIJI CHA MBEYE-ONE, KATA YA ISONGOLE, TARAFA YA UKUKWE, KWA TUHUMA ZA KUVUNJA DUKA USIKU NA KUIBA NGUO ZA AINA MBALIMBALI MALI YA ZIDI S/O JULIUS. KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI BARAKAEL MASAKI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA TABIA YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI KWANI NI KINYUME CHA SHERIA NA BADALA YAKE WAWAFIKISHE WATUHUMIWA WANAO WAKAMATA KATIKA MAMLAKA HUSIKA ILI HATUA ZAIDI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE DHIDI YAO.
WILAYA YA RUNGWE – AJALI YA GARI KUACHA NJIA KUPINDUKA NA KUSABABISHA
KIFO NA MAJERUHI.
MNAMO TAREHE 15.12.2013 MAJIRA YA SAA 11:30HRS HUKO KATIKA ENEO LA NEWLAND, KATA YA KIWIRA, TARAFA YA UKUKWE, BARABARA YA MBEYA/TUKUYU WILAYA YA RUNGWE, MKOA WA MBEYA, GARI T.668 CGY/T.702 CGZ AINA YA FAW MALI YA KAMPUNI YA SILENT ROAD HAULAGE LIKIWA LIMEPAKIA MBOLEA TOKA DSM KUELEKEA NCHINI MALAWI LIKIENDESHWA NA DEREVA KUDRA S/O RAMADHAN, MIAKA 35, MLUGURU, MKAZI WA UBUNGO- DSM LILIACHA NJIA NA KUPINDUKA KISHA KUSABABISHA KIFO CHA TINGO WA GARI HILO MATHIAS S/O JOEL MWENDA, MIAKA 31, MLUGURU, MKAZI WA CHAMAZI –DSM PIA KUSABABISHA MAJERUHI KWA DEREVA WA GARI HILO AMBAYE AMELAZWA HOSPITALI YA MISHENI IGOGWE. CHANZO CHA AJALI KINACHUNGUZWA. KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI BARAKAEL MASAKI ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO KWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUKA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA.
Imesainiwa na:
[BARAKAEL MASAKI– ACP]
KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

0 comments:
Post a Comment