Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Jane Kakingo Mgimwa, mjane wa aliyekuwa
Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya mwili wa marehemu kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa Desemba 5, 2014 kwa ajili ya
mazishi yanayotarajiwa kufanyika kijijini Magunga Desemba 6, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia wakati mwili wa aliyekuwa Waziri wa
Fedha, Dr. William Mgimwa wakati ulipowasili kwenye uwanja wa ndege wa
Nduli Iringa Desemba 5,2014 kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa
kufanyika Desemba 6, 2014 kijijini Magunga. Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
0 comments:
Post a Comment