Watoto watatu wa familia moja ambao walikuwa wamepanda pikipiki
wamekufa baada ya kugongwa na basi la Mtei express katika njia kuu
itokayo Singida hadi Arusha ambapo baada ya tukio hilo wananchi wenye
hasira waliamua kulichoma moto basi hilo.
Home »
» WATOTO 3 WA FAMILIA MOJA WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA BASI LA MTEI WAKIWA KWENYE PIKIPIKI
WATOTO 3 WA FAMILIA MOJA WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA BASI LA MTEI WAKIWA KWENYE PIKIPIKI
Written By kitulofm on Friday, 10 January 2014 | Friday, January 10, 2014
Related Articles
If you enjoyed this article just click here, or subscribe to receive more great content just like it.
0 comments:
Post a Comment