Home » » ASHUSHA BENDERA YA TAIFA ILIYOKUWA MAHAKAMANI NA KWENDA KUJIFUNIKA KAMA SHUKA NYUMBANI KWAKE

ASHUSHA BENDERA YA TAIFA ILIYOKUWA MAHAKAMANI NA KWENDA KUJIFUNIKA KAMA SHUKA NYUMBANI KWAKE

Written By kitulofm on Friday, 21 March 2014 | Friday, March 21, 2014

Habari zizizoufikia mtandao huu kutoka Rorya Mkoani Mara ni kwamba, mtu ambaye jina lake halijapatikana mara moja, ameenda kwenye mahakama ya wilaya, akapanda kwenye mlingoti na kuishusha bendera  ya taifa, kisha akaondoka nayo nyumbani na kuifanya shuka la kujifunikia.


Tayari mtuhumiwa huyo amekamatwa na sasa yupo Rumande akisubiria hatma yake
Chanzo:EDDY BLOG
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm