Mkuu
wa Mkoa wa Njombe Capteni Mstaafu Asseri Msangi Akihutubia Mamia Ya
Wakazi wa Mji wa Njombe na Mikoa Jirani Walioshiriki Katika Maadhimisho
ya Daraja Day.
Na Gabriel Kilamlya Njombe.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Captain Mstaafu
Asseri Msangi Amevitaka Vyombo Vya Habari Mkoani Hapa Kufanya Kazi Kubwa
ya Kuendelea Kuibua na Kuandika Mambo Mbalimbali Yaliyojificha Ili
Kuisaidia Jamii Kuondoka na Matatizo Yasiyo Ya Lazima.
0 comments:
Post a Comment