Home » » PINDA AZINDUA MRADI WA MAJI KIBAIGWA

PINDA AZINDUA MRADI WA MAJI KIBAIGWA

Written By kitulofm on Tuesday, 18 March 2014 | Tuesday, March 18, 2014

PG4A2437
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo  wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za Wiki ya  Maji nchini Machi 17, 2014.. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A2455
Waziri Mkuu, izengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo  wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ya Shuguli za wiki ya Maji.
PG4A2474
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua bomba la maji kuashira uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ua Shiguli za wikiya Maji. Kulia Kwake ni Waziri wa Maji na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Rehema Nchimbi.
PG4A2497
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimtwika ndoo ya maji, bibi Emaculata Mazengo wakati alipozindua  mradi wa maji wa Mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwaikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji.
PG4A2525

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia baada ya kuzindua mradi wa maji wa mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji  Aprili 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm