Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameanzisha rasmi mpango maalum wa tume ya
maadili na kupambana na rushwa unaolenga kukabiliana na tatizo hilo.
Mpango huu unazinduliwa wakati Kenya ikikabiliwa na kashfa mbali mbali za ufisadi .
Rais Kenyatta ameamrisha ofisi ya mkuu wa sheria, idara inayohusika na
masuala ya haki na fedha pamoja na tume ya kupambana na ufisadi nchini
Kenya kubuni sera zitakazosaidia katika harakati za kupiga vita ulaji
rushwa.
0 comments:
Post a Comment