Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akiwapokea wanachama zaidi ya 300
kutoka vyama vya upinzani ambao wameamua kujiunga rasmi na CCM, ziara
hii ya Katibu Mkuu wa CCM imekuwa na mafanikio ya hali ya juu kwani kila
anapomaliza kuhutubia mamia ya wapinzani wanarudisha kadi.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pole Mwenyekiti wa
CCM wilaya ya Songea Vijijini Ndugu Neli Due aliyepata matatizo ya
kupooza mkono na mguu,nyumbani kwake mtaa wa Mtakuja Bombanbili.


0 comments:
Post a Comment