Wabunge wenye ushawishi mkubwa katika bunge la Marekani wametupilia mbali ombi la aliyekuwa mfanyakazi wa shirika la taifa la usalama la Marekani, NSA, Edward Snowden kutaka msamaha.
Wabunge hao walieleza msimamo wao kuhusu Edward Snowden katika mahojiano
na kituo cha televisheni cha CBS jana Jumapili.
0 comments:
Post a Comment