Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba Mhe. Joseph S. Warioba mara baaada ya kuwasili katika viwanja vya
Karimjee Hall kupokea Rasimu ya Pili ya Katiba. Kulia ni Mhe. Assaa Rashid, Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,
Rais Kikwete akisalimiana na Mhe Assaa Rashid, Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,
Rais
Kikwete akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu
huku Jaji Mkuu wa Tanzania Bara Mhe Mohamed Chande Othman, Spika wa
Bunge la Muungano Mhe Anne Makinda na Spika wa Zanzibar Mhe Pandu Ameir
Kificho wakisubiri zamu zao



0 comments:
Post a Comment