Home » » MALAYSIA AIRLINES YATOA KIASI CHA SH.MILLIONI 8 KWA WAFIWA KWA KILA ABIRIA ALIYEKUWA NDANI NYA MH370

MALAYSIA AIRLINES YATOA KIASI CHA SH.MILLIONI 8 KWA WAFIWA KWA KILA ABIRIA ALIYEKUWA NDANI NYA MH370

Written By kitulofm on Tuesday, 25 March 2014 | Tuesday, March 25, 2014



Waziri mkuu wa Malaysia, Najib Razak akizungumza na vyombo vya habari baada ya kupata habari ya ndege ya Malaysia imeanguka kwenye bahari ya Hindi.

Shirika la ndege la Malaysia Airlines leo Jumanne limesema limetoa $5,000 ambazo ni takriban shilingi milioni nane kwa ndugu waliofiwa kufuatia ajali ya ndege yake ya MH370. Fedha hizi ni kwa kila abiria aliyekuwa kwenye ndege hiyo.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm