Mwanamume mmoja nchini Kenya aliwaacha wakazi wa kijiji cha Tivani mkoa
wa Bonde la uffa vinywa wazi baada ya kujichimbia kaburi na hata
kujaribu kujizika mwenyewe kutokana na alichosema ni matatizo ya ndoa.
Kwa mujibu wa kituo cha runinga cha KTN nchini Kenya, tukio hilo lililotokea Jumanne asubuhi na kuwashangaza wakazi wa eneo la Trans Nzoia mkoa wa Rift Valley
SOMA ZAIDI
Kwa mujibu wa kituo cha runinga cha KTN nchini Kenya, tukio hilo lililotokea Jumanne asubuhi na kuwashangaza wakazi wa eneo la Trans Nzoia mkoa wa Rift Valley
SOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment