Home » » "CCM ITASHINDA KWA ZADI YA 94% CHALINZE"NAPE

"CCM ITASHINDA KWA ZADI YA 94% CHALINZE"NAPE

Written By kitulofm on Thursday, 3 April 2014 | Thursday, April 03, 2014

Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze, ambapo amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na 

Changamoto za miundombinu ya barabara kutokana na mvua ambazo zinaendelea kunyesha nchini kote, jambo ambalo linaweza kuchangia wagombea kushindwa kuwafikia baadhi ya wananchi katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo, 
Nape ameongeza kwamba hata hivyo chama hicho kitashinda kwa asilimia 94 katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili ijayo.
ccm 1
Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi katika mkutano na waandishi wa habari  mjini Chalinze.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm