Mgogoro wa uongozi umezuka katika Bunge la Afrika Mashariki ambapo
wabunge wa bunge hilo wanakusudia kumwondoa madarakani spika wa bunge
hilo.
Tayari wabunge hao wameshakusanya saini 36 kutoka kwa wabunge 45 wa bunge hilo ambazo zinatakiwa kwa mujibu wa kanuni.
SOMA ZAIDI
Tayari wabunge hao wameshakusanya saini 36 kutoka kwa wabunge 45 wa bunge hilo ambazo zinatakiwa kwa mujibu wa kanuni.
SOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment