Afisa habari
wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu(
kulia)akiwa tambulisha Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa
vyombo vya Habari nchini katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya
Peacock jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyombo
mbalimbali nchini.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Fadhili
Manongi akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini
(hawapo pichani) juu ya Kanuni na taratibu za Mamlaka hiyo katika
mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya Anga Julius Kamhabwa,Inspekta
Mwanadamizi Idara ya Udhibiti wa Mamlaka ya Anga Tanzania Mutesigwa
Mango(kushoto).
Inspekta Mwanadamizi Idara
ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango ,akifafanua
jambo kuhusiana na ajira za Maarubani na wahudumu wa ndege hapa
nchini wakati wa mkutano na wahariri wa vyombo vya habari
uliohusu kanuni na taratibu za Mamlaka hiyo,Mkuatano huo ulifanyika
katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi .Kulia
ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya Anga Julius Kamhabwa.
Baadhi
ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa katika mkutano uliofanyika
jijini Dar es Salaam ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania ambao ulilenga kuwapa elimu juu ya shughuli zinazofanywa na
mamlaka hiyo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi (
wapili kutoka kushoto) Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya
Anga Julius Kamhabwa (wa pili kulia) na Inspekta Mwanadamizi Idara
ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango (kushoto ) wakimsikiliza
kwa makini Mkurugenzi wa Idara ya Habari ( Maelezo) Assah Mwambene,
wakati alipokuwa akifafanua jambo kwenye mkutano ulioandaliwa na
Mamlaka ya Usafiri wa Anga kwa Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar
es Salaam.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akifafanua jambo wakati
alipohudhuria mkutano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga ulioandaliwa
mahususi kwa Wahariri wa Vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.Kutoka
kulia wanaomsikiliza ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi , Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti
Masuala ya Anga, Julius Kamhabwa.
Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya Anga, Julius Kamhabwe akijibu
moja ya maswali yaliyoulizwa katikaMkutano wa Wahariri wa vyombo vya
habari jijini Dar es Salaam,ambao ulilenga kufafanunua kuhusu kanuni na
taratibu za Mamlaka hiyo.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi na Inspekta
Mwanadamizi Idara ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango.
.Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili
Manongi akisisitiza jambo kabla ya kunaza mkutano na wahariri wa
vyombo vya habari na Mamlaka hiyo , wanaomsikiliza (wapili kushoto) ni
Inspekta Mwanadamizi Idara ya Udhibiti wa Mamlaka ya Anga Tanzania,
Mutesigwa Mango ,Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya Anga
Julius Kamhabwa na Afisa habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) Bestina Magutu( kulia) Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya
Peacock jijini Dar es Salaam,ukiwa na lengo la kutoa ufafanuzi na
taratibu za mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo mbalimbali nchini.
CHANZO:MO-BLOG
0 comments:
Post a Comment