Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba James Mbatia (kushoto), Mohamed Raza( wa pili kushoto) , Profesa Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) na Freeman Mbowe(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.(Picha na Bunge Maalum la Katiba -Dodoma).
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Msemaji wa walio wachache wa
Kamati namba saba Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa maoni ya walio
wachache leo mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Msemaji wa walio wachache wa
Kamati namba sita Ismail Jussa akitoa ufafanuzi wa maoni ya walio
wachache leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Kamati namba saba ya Bunge Maalum la Katiba Brigedia Jenerali
Mstaafu Hassan Ngwilizi akiwasilisha maoni ya kamati yake leo mjini
Dodoma kuhusu sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Mohamed Abood(kushoto) na Stephen Wassira
wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na
mbili cha Bunge Maalum la Katiba.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Sophia Simba (kushoto) na James Lembeli
(katikati) na Job Ndugai (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma
wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Philemon Ndessamburo (kushoto) na James
Mbatia (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao
cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(wa pili kulia) akiongoza na
wajumbe wengine wa Bunge hilo kuelekea katika mapumziko mafupi mara
baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment