Mwanafunzi akionesha alama kwa wanafunzi wenzake katika shule moja ya Msingi Iliyopo kata ya Mfumbi wilayani Makete Mkoani Njombe
Uongozi wa Elimu wilayani Makete unapenda kuwatangazia wananchi wote wa Makete na Nje ya Makete ambao ni wadau wa Elimu kujitokeza kwa wingi Siku ya Elimu Duniani
Mkoa wa Njombe itafanyika katika Wilaya ya Makete,Makete Mjini eneo la Mabehewani siku ya Ijumaa Tarehe 11 April 2014 kuanzia saa 3:00 Asubuhi
Katika maadhimisho hayo kutakuwa na Kwaya Mbalimbali kutoka wilayani hapa,Ngoma,Muziki wa Kukata,Maonyesho ya Elimu na Hotuba toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Kaptein Mstaafu Asseri Msangi
Na Furahisha Nundu
0 comments:
Post a Comment