Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya
Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni
mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo waliopatiwa ruzuku na
serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika
kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014.
Kushoto ni Waziri wa
Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu
Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni
Mkurugeni wa Benki ya TIB, Peter Noni.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiagana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa
Sospeter muhongo (katikati) na Mkurugenzi wa Benki ya TIB, Peter Noni
(kulia) baada ya kukabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogowadogo
zilizotolewa na Serikali kupitia Benki ya TIB .
Makabidhiano ya hundi za
fedha hizo yalifanyika kwenye Chuo cha Madini mjini Dodoma Aprili 9,
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment