Mahakama ya juu zaidi nchini Rwanda imemhukumu kiongozi wa Upinzani nchini humo Victoire Ingabire kifungo cha miaka 15.
Mwanamama huyo aliyekuwa ana nia ya kuwania Urais
Victoire Ingabire aliongezewa hukumu hiyo ambayo awali alihukumiwa miaka
minane na baada ya kukata rufaa akaongezewa mpaka miaka 15.
Awali mwezi Oktoba mwaka huu , Ingabire ambaye ana
asili ya Kihutu alikuwa na hatia ya ugaidi, ambapo alikana kutokea
mauaji ya kimbari dhidi ya kabila la Watutsi.
SOMA ZAIDI:MWANANCHI
SOMA ZAIDI:MWANANCHI
0 comments:
Post a Comment