Habari
zilizotufikia katika chumba chetu cha habari usiku huu,
ni kwamba basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake
kati ya Makete - Njombe, limetumbukia kwenye mto eneo la Lwamadovela uliopo mpakani mwa kijiji cha Lupalilo na Ikonda wilayani Makete
Basi
hilo lilikuwa likitokea Njombe kuelekea Makete na ajali hiyo imetokea
majira ya saa 11 jioni kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo
Wapo baadhi ya abiria waliojeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya Ikonda Consolata
Taarifa kamili ya ajali hiyo endelea kusikiliza kitulo fm 97.0MHZ na kutembelea blog hii
CHANZO:EDDY BLOG
0 comments:
Post a Comment